Student CB

Kiswahili Kitukuzwe!!!

  Darasa ni la Digital Electronics na sielewi analolifunza mwalimu.Usitake* jua wivu ninao kwa wanagenzi wenzangu wanaolielewa somo hili ninavyoelewa kula. Sijui kama ni kwa sababu sina raha na cheti ninachokitafuta hapa, kawaida yangu ama ni siku tu isiyo njema kwangu. Hilo halihusishi sana. Nilipokuwa nimezubaa wazo likanijia la kuandika nukuu hii kwa Kiswahili. Sio […]

Scroll to top